Happy bithday my Angel

Happy bithday my Angel

Daaah aiseee sina neno...
Ila nkuulize madam Angel Nylon hivi usiku huyo jamaa huwa anashinda hom hapo...?

Swali la pili.
Madam we huogopi licha ya mada zake za kutisha huyu kiumbe..?
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Daaah aiseee sina neno...
Ila nkuulize madam Angel Nylon hivi usiku huyo jamaa huwa anashinda hom hapo...?

Swali la pili.
Madam we huogopi licha ya mada zake za kutisha huyu kiumbe..?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Zimwi likujualo halikuli likakwisha
Kheri ya unaemjua mambo yake na ukaridhika kuishi nae kuliko mamluki.
10 yrs, fam chezo
 
Zimwi likujualo halikuli likakwisha
Kheri ya unaemjua mambo yake na ukaridhika kuishi nae kuliko mamluki
10 yrs, fam chezo
😂😂😂😂😂Wee haya tuu mi sina neno ila kuwa makini mnoo...

Wenzako humu huwa wanaogopa hata kumuanza sema mi siogopi kwa kuwa wewe dada angu utanitetea....
😂😂😂😂
 
Mshana Jr live sasa umefungwa kwenye nylon .... Hutoboi mkuu
What is nylon
""" any synthetic plastic material composed of polyamides of high molecular weight and usually, but not always, manufactured as a fibre...

Ujumbe upo hapo kwa red notice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom