Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sasa analalamika nini, muone alivyo mchoyonakumbuka alikubali kila kitu
Sasa analalamika nini, muone alivyo mchoyonakumbuka alikubali kila kitu
akae mbali nazoAkae mbali na double S
kama sisi tunavyozisoma za kirumiAtaisoma namba
akae mbali nazo
kama sisi tunavyozisoma za kirumi
Kama nilivyoshiriki kumleta halafu analeta uchoyo kwa mawifiHivi shemeji nikweli unataka kushiriki kunivurugia ndoa!
Tehteh nampenda bhn husna siwezi mfanyia haya.![]()
Nimecheka kwa sautiTehteh... basi wewe wa kuvalishwa pampas
katamfundisha ata DabySasa analalamika nini, muone alivyo mchoyo
Mwambiee huyooo mkeo wa pili ajueNakumbuka saana shemeji uliniamsha saa 9![]()
HahahaKama nilivyoshiriki kumleta halafu analeta uchoyo kwa mawifi
Eti tafuteni nauli, loooooo asona haya


Haya weeeHuyu ni mtoto wa baba yake mdogo na kaka yake na yule baba mdogo wa Tanga bae niliyekuambia.
We nn nyamaza ukooohuyo ndio Daby usigunewakina sumbai waliongea
Umeona eeehkama sisi tunavyozisoma za kirumi
Daby usiige tabia zakekatamfundisha ata Daby
Tu pamoja mkuu wangu!Dr. Asante saana kaka. I feel blessed to have you bro as my team.![]()
tunajutraaaaaKabisaa
Aisee tulikosea kumtafuta wifi bhana