Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Usitake kuniambia kakupikuuuhahahhah utaelewa tu
Usitake kuniambia kakupikuuuhahahhah utaelewa tu
Huyu ni mtoto wa baba yake mdogo na kaka yake na yule baba mdogo wa Tanga bae niliyekuambia.Mmmmh
huyo ndio Daby usiguneMmmmh
wakina sumbai waliongea
navalishwa mbona nikishaanza champumuTehteh... basi wewe wa kuvalishwa pampas
Weweee weeeweee mmmh.huyo ndio Daby usigunewakina sumbai waliongea
hapana si unajua manga anafanyaga maksudi akiandika ndio mana nimemuitiaUsitake kuniambia kakupikuuu
Huyu ni mtoto wa baba yake mdogo na kaka yake na yule baba mdogo wa Tanga bae niliyekuambia.






Siendi tenaNauli umebebA?!
Tete si kidogoooDuh, ama kweli hali tete
Acha hizo
Basi umeshindikananavalishwa mbona nikishaanza champumu
Tusile mwayasio hauli n hatuli wote
Tusubiri ya Mondraysumbai hawa wachoyo nasubili yako sijui na ww utaninyima cake
mm nimeshindikana kweliBasi umeshindikana
Usicheke na sisiTehteh hayo yanakataga mawasiliano ya sphincter muscles na urine bladder![]()
BogaTusile mwaya
Keki yenyewe ina rangi mbaya
