Happy Birthday Zitto Kabwe

Ninakutakia maisha marefu na yenye mafanikio, kumbuka kumshukuru Mungu kwa wema wake.
 
jamani mtu alikuwa anajivunia mafanikio ya mwanae ana haki pia!ni mbibi hata shule haijui but his son akawa jaji mkuu tz.Inaonekana mwanawe alikuwa motivated sana pamoja na kutoka familia maskini but hakutumia as an excuse na aliwork hard hadi akafika hapo alipokuwa


haya ngoja mama ajivunie mafanikio yake ngoja na mie nikaze buti ili wazazi wasije kuregret kwa nini walinizaa
 
Ooooooops! Pls accept my belated birthday wishes, may you grow to become the real saviour of this country.
 
I wish u to light 101 candles. One day you will be like President Barack Obama. Have a merry birthday.
 
yaa! HaPpY bIrTh DaY ZITTO but kaza buti na punguza mapozi.........
 
Happy Birthday Mh. Zitto Naibu katibu Mkuu CHADEMA

Ukweli tayari ushaanza kupita kwenye mabonde na milima

wishing a happier life
 
ikiwa leo ni tarehe 24 september unapokumbuka siku yako ya kuzaliwa, napenda kukutakia maisha mema na yenye mafanikio.

Tumetoka mbali pamoja kama mdau wa jf na tumekuwa pamoja katika mijadala mbalimbali na hujatutupa.

Kwa niaba ya uongozi wa jf, tunapenda kukutakia furaha tele katika kuadhimisha siku hii ambayo tunaamini ni muhimu kwako na kwa familia yako.

Mungu akujalie maisha marefu na akuongezee hekima.

Happy birthday mkuu!


happy birthday
 
happy bday sijui nikuite mzee/kijana/mtoto
unatimiza miaka mingapi?
ingekuwa vizuri ungetuwekea historia ya maisha yako siku ulivyozaliwa na changamoto mbalimbali mama yako alizokutana nazo
kitu gani mama yako amefanya tofauti mpaka wewe ukaweza kunyooka wakati wazazi wengine wanashindwa, yote ni mambo ya kutoa elimu kwa wakina mama wadogo
 
Unafiki mtupu! wewe si uleikuwa unamshambulia Zitto hapa leo kawa "kamanda"

makamanda ndio wanashambuliwa, wananchi wakawaida hawashambuliwi
leo ni siku yake ya kuzaliwa kwa hiyo hakuna budi kusherekea
JF watu wanapingana hoja na sio kuwekeana visasi
 
Ikiwa leo ni tarehe 24 September unapokumbuka siku yako ya kuzaliwa, napenda kukutakia maisha mema na yenye mafanikio.

Tumetoka mbali pamoja kama mdau wa JF na tumekuwa pamoja katika mijadala mbalimbali na hujatutupa.

Kwa niaba ya uongozi wa JF, tunapenda kukutakia furaha tele katika kuadhimisha siku hii ambayo tunaamini ni muhimu kwako na kwa familia yako.

Mungu akujalie maisha marefu na akuongezee hekima.

Happy Birthday mkuu!
hongera!
miaka 33 sio michache
 
Ikiwa leo ni tarehe 24 September unapokumbuka siku yako ya kuzaliwa, napenda kukutakia maisha mema na yenye mafanikio.

Tumetoka mbali pamoja kama mdau wa JF na tumekuwa pamoja katika mijadala mbalimbali na hujatutupa.

Kwa niaba ya uongozi wa JF, tunapenda kukutakia furaha tele katika kuadhimisha siku hii ambayo tunaamini ni muhimu kwako na kwa familia yako.

Mungu akujalie maisha marefu na akuongezee hekima.

Happy Birthday mkuu!

ujana maji ya moto,mambo mengi yanayotokea kwa sasa ni mapito tu.i mean ujana in the making!....vumilia,yatakwisha haya!
.....ukitulia unaweza kuwa somebody
 
zitto_kabwe.jpg
happy+birthday+greeting+card+image+mickey+mouse+cartoon.jpg
 
Happy birthday Mheshimiwa Zitto. The end of one event marks the beginning of another one
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom