MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,033
- 64,844
Leo ni birthday ya Malcom Lumumba,..Almanusura nipate ajali leo asubuhi navyoenda kazini daah.
Kweli wanawake siyo madereva wazuri. Yani anataka kunisababishia ajali kwenye siku yangu ya kuzaliwa.
Wewe unajipodoaje kwenye gari?
Hivi leo ningekuwa hospitali au marehemu kisa undezi wa mabinti wa mujini?
Sasa nkajiuliza hata Chata sijaacha nyuma hivi ningekumbukwa kwa lipi?
Ila Mungu mwema I'm here.
HAPPY BIRTHDAY TO ME.