Happy birthday to those who joined jf on Nov 1.

myhem

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
933
358
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wale wote waliojiunga jf siku kama ya leo ikiwamo mimi mwenyewe.Naamini kuwa wengi wao wametoa michango mizuri sana ambayo kwa namna moja ama nyingine imesaidia kubadili mitazamo ya wengi wetu juu ya mambo ambayo hatuyajui vizuri.

Nawatakieni kila la heri muweze kuendelea kutoa elimu ya bure humu jukwaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom