You are my senior Shemeji !
Kwa heshma yako na kwa mapenzi yangu kwako imenilazimu nitoke ughaibuni , kwa muktadha wa kuja kukupa special wish katika hii siku yako adhimu!
Nikuombee umri mrefu sanjari afya maridhawa KOKUTONA .
Thante pastor. Siku hizi umeacha kuchunga kondoo wa bwana???
Sikuoni kwenye parokia yetu