Happy birthday to me

miaka 23 kwa mwanamke cyo mtto angalia wenzako mlomaliza primary saiv ni mamaz so ucjione mtto saaaAAaaaanaa utalemaa akili..
sawa mtto wa mama?
 
saluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuti
mungu awabariki kwa pongezi na hongera mlizonipa jana,,
jana ilikuwa siku muhimu sana na ile mada ya jana ilikuwa ya kwanza kwangu kupost tangu nijiunge hapa jf mwezi wa kumi mwaka huuu

heeeeeee jana sikutegemea mada yangu kama itafika page hata mbili maaajabu ikafika page saba
sikuwaza kama ntapata pongezi kutoka kwa wakongwe lakini kina watu8 na mentor walikuwa pamoja nami ukiacha vizabina zabina wenye roho za kwanini

tena jana nikapata umaaarufu wa ghafla pm kama 50 et ohooo dada njoooo uchukue zawadi mara ohooo nataka nikutoe out tena wengine dada et wanaomba namba yangu wanitumie mpesa

mungu wangu kaeni mkijua najitosheleza idara zote sina tamaaa ya fisi kabisa

mungu awabariki wote leo sijakosea lugha wengine sijui watachangia nini
 
basi sawa. umesomeka ........halafu wenzio mambo ya pm huwa yanaishia huko huko best...........
 
Akili kumkichwa, kama mtu nakutongoza ni wewe jukumu lako kukubali au kukataa na sio kutangaza. Kinadada wa ukweli ndio wako hivo.
 
Akili kumkichwa, kama mtu anakutongoza ni wewe jukumu lako kukubali au kukataa na sio kutangaza. Kinadada wa ukweli ndio wako hivo.
 


Heri yako ya kuzaliwa

Uwe na maisha marefu
 

Chunga sana elimu asije akaenda zake, umshike sana elimu maana ndio uhai wako!
 
Mungu akupe umri mrefu kama umri huo utakuwa kheri kwako and vise vesa is true, happy b'day to u, kumbuka leo unaazimisha kuzaliwa wengine wanazika wenzao, enjoy
 
kuwa uyaone mdogo wetu....
 

Hongera kwa kutimiza umri wa miaka 23 lkn ckuelewi unaposema only 23 unamiaka mingine unayo na umeficha
 
Happy belated birhday.... mwaka huu unakimbilia 24 ushaanza kuzeeka
 
23 years happy birthday to you....!! that time nilikua namaliza chuo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…