Happy birthday to me

Happy birthday to me

Toobah! Hizo drinks una mpango gani na besdei gelo? Ngastukaaa
He! Kwanini hukusema mapema shemeji??
Lawama sitaki na nilichonacho ndicho ntakachokupa nawe pokea kwa shukrani. Si unajua mambo ya mapilao yashapitwa na wakti? na lanchi ushakula? Basi ngoja nijumlishie hapahapa nakupa lanchi na drink.

304394_1660675280737776_1003826376_n.jpg

pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif

Happy Birhtday Kijino!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Happy birthday Kijino
nakupa ofa ya utakacho pale fesibuku.....tukutane tena baadaye eeee

Enjoy your day to the fullest!!!
 
Last edited by a moderator:
Toobah! Hizo drinks una mpango gani na besdei gelo? Ngastukaaa

Khaa!! Acha wivu King'asti mwache mwenzako ajinome, si mara moja tu kwa mwaka?
Au nawe wataka kidogo nikugee?
Wewe unywe hizi;

pho_bottle_1445.gif
pho_bottle_1445.gif
pho_bottle_1445.gif
pho_bottle_1445.gif
na hizi
pho_bottle_1586.gif
pho_bottle_1586.gif
pho_bottle_1586.gif
pho_bottle_1586.gif
pho_bottle_1586.gif
pho_bottle_1586.gif

Na hizi hapa chini mpe Paw midamida, OK?

220px-Courvoisier_2512397660_9311ab2f31_b.jpg
220px-Cognac_Hennessy_Very_Special.jpg
170px-Vat69.jpg

Na mwambie mumeo Paw kuwa asiache hata tone na nimarufuku kulewa kwani madhara yake twayajua kule siasani.
 
Yaaaalllah!
wewe baba una mpango gani wa siri jamani. Yaani unataka utuleweshe hivi ili? Ushindwe na ulegee kuanzia.unyayo hadi unywele, sie tuna mkakati wa kufungua kanisa manake tumeshtukia ndo biashara inayolipa. Tumeacha vinywaji vya kidunia, rudi nyuma yangu shetani.

King'asti unajua kitu chochote kikilegea kinahitaji kukazwa. Sasa nia yangu hasa yakukupa hayo makitu ni ili unywe ulewe na nadhani ukilewa utalegea........... kazi ni kwakeeeee........ Hapo hakuna cha shetani wala shaitwani... mambo mwake mwake tu ama sivyo shemejiii? Na una bahati leo imekuwa 'White Monday' kwako..
 
Last edited by a moderator:
He! Kwanini hukusema mapema shemeji??
Lawama sitaki na nilichonacho ndicho ntakachokupa nawe pokea kwa shukrani. Si unajua mambo ya mapilao yashapitwa na wakti? na lanchi ushakula? Basi ngoja nijumlishie hapahapa nakupa lanchi na drink.

304394_1660675280737776_1003826376_n.jpg

pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif
pho_bottle_1519.gif

Happy Birhtday Kijino!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu umeua. Bonge la zawadi. Kijino lazima akae.
 
Happy birthday Kijino. MUNGU akupe maisha marefu yenye NEEMA.
 
Wallah toba Arushaone unahiyana wewe kututamanisha hiyo picha ya kwanza? halafu si unajua hiyo ya pili Erickb52 kafunga kwanini unataka kutengua mfungo wa watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom