Happy birthday to me..

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
yeah ts my birthday chit chaters.!!! Ndo ile siku wengi mlikua mnaisubiria kwa ajiri ya kutoa zawadi zenu... Msisite wala hamjachelewa
mwanza - beibe nasty
arusha - erick52
morogoro - madame B
dodoma - miss bantu
kwa wale wa dar, kama kawaida yetu savanah lounge mitaa ya posta kasolo ruhanzwe.!!
mikoa mingine rukxa kujichagulia wawakilishi...

al in al, thanks god for this day..
luvly mom, u'l alyz b specl in ma lyf..
lv u al..
Jr. Cux
 
Happy Birthday Jr.Cux

ujumbe, ukiandika kirefu utaonesha unakua mass, volume na density.
 
yeah ts my birthday chit chaters.!!! Ndo ile siku wengi mlikua mnaisubiria kwa ajiri ya kutoa zawadi zenu... Msisite wala hamjachelewa
mwanza - beibe nasty
arusha - erick52
morogoro - madame B
dodoma - miss bantu
kwa wale wa dar, kama kawaida yetu savanah lounge mitaa ya posta kasolo ruhanzwe.!!
mikoa mingine rukxa kujichagulia wawakilishi...

al in al, thanks god for this day..
luvly mom, u'l alyz b specl in ma lyf..
lv u al..
Jr. Cux

Happy bday sweety have everlasting life. My dear n God has a real gud reason mpaka kaupa fursa ya kuona this day na pia uweze kucelebret haya mi nipo totoo
 
Happy. Birthday, may God bless you, protect and defend, may he always shield you from shame! May you live to blow 101 candles.....
 
Happy Birthday Jr Cux....
Say thanks to God na nakuombea maisha marefu na ya furaha...
Tunajiandaa kukuletea kitu Nyama Choma...sema unataka ya nini, ng'ombe,mbusi, au ya porin?
 
yeah ts my birthday chit chaters.!!! Ndo ile siku wengi mlikua mnaisubiria kwa ajiri ya kutoa zawadi zenu... Msisite wala hamjachelewa
mwanza - beibe nasty
arusha - erick52
morogoro - madame B
dodoma - miss bantu
kwa wale wa dar, kama kawaida yetu savanah lounge mitaa ya posta kasolo ruhanzwe.!!
mikoa mingine rukxa kujichagulia wawakilishi...

al in al, thanks god for this day..
luvly mom, u'l alyz b specl in ma lyf..
lv u al..
Jr. Cux

morogoro madame B? Au nimeona vibaya?
Hongera zako Jr. Cux
 
Heri ya siku ya kuzalika babangu
NB: siku hizi ile ya posta ni 'hotel del monte', savannah lounge iko kulee nyerere road kwa fisadi nyangumi's mjengo wa ubora
 
Back
Top Bottom