Happy Birthday to Me

Happy Birthday to Me

Mr Spider

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2020
Posts
2,003
Reaction score
3,602
I'm so happy today, I celebrate another year in my life. I would like to share this information so that I can earn something new from this platform. I expect to get sometips about opportunities in Tanzania especially in agriculture sector but not only that, I would rather to get in touch with new friends from this platform. I'm here to learn and get intouch.
 
Nakutakia furaha, afya njema, na mafanikio tele katika mwaka huu mpya wa maisha yako.

Heri ya kuzaliwa Mkuu!
Nashukuru sanaa Mzee wangu, huwa nasoma sanaa comments zako kwenye nyuzi mbalimbali zinazoshushwa humu! 👏🏻
 
Vinywa vyetu Wazee hupenda kuwa nenea mema Vijana wetu, nami Babu yenu ni mmoja wao 🤗

Kila la heri katika Siku hii muhimu kwako.
 
I'm so happy today, I celebrate another year in my life. I would like to share this information so that I can earn something new from this platform. I expect to get sometips about opportunities in Tanzania especially in agriculture sector but not only that, I would rather to get in touch with new friends from this platform. I'm here to learn and get intouch.
Hongera kwa kuzaliwa tarehe moja na kijana wangu. Kheri ya mfanano wa tarehe ya kuzaliwa kwenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom