HAPPY BIRTHDAY TO ME

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,086
Leo ni siku yangu muhimu sana kwa maana hiyo namshukuru Allah kwa kuweza kunijalia uhai hadi kufikia siku yangu ya leo na kuweza kuiadhimisha nikiwa na afya tele kabisa.. Napenda kuchukua nafasi kuwakaribisha wana jf wenzangu wote katika kusherehekea siku yangu na pia ningependa kuchukua nafasi kwa nyinyi wana jf wenza kuwaomba dua zenu ili mniombee niweze kuishi katika njia za kumcha Allah.
Asanteni sana
HAPPY BIRYHDAY TO ME
IMG_20180421_140745.jpg
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mkuu, Mungu akupe kila jema, akupe maisha marefu, akuepushe na mabalaa na mikosi! Furaha na amani zikatawale maishani mwakooo!!
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mkuu, Mungu akupe kila jema, akupe maisha marefu, akuepushe na mabalaa na mikosi! Furaha na amani zikatawale maishani mwakooo!!
asante sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom