Happy birthday to me, this is my diary

Bado ni mtoto hata hela ya boxer anapewa na mama kwanini asikumbuke siku ya kuzaliwa, wakati utafika hata hiyo mambo haipo labda watoto wake ndo watamkumbusha birthday zao
Samahan mkuu, ila nafikiri tu nimazingira tuliokulia na kulelewa, nimekulia kwenye familia ya kisasa labda ndio sababu, najua maisha yamekuvuruga, pengine una madeni mengi na hujui utayalipa lini, tuliwahi kupata familia bila kujipanga pole ndio maisha, feel sorry kaka yangu,, kwa TAARIFA Yako nimetoka home years kibao now na najigharamia Kila kitu Moja mbili mi sio kijana now mi ni mwanaume, kama una Binti au dada nipatie mkuu
 
Sherekea na usisikileze maneno ya watu
Nimeumia sana moyo, na haki kusherekea ukizingatia madogo tulio kua nao pamoja wengine washa tangulia mbele za haki mkuu tena kwa mateso kaka acha tu nimshukuru mungu mtaani kwetu kulikua na battle ya wazee hivi ilikua vita ya sobibor na hittler
 
Hongera dogo,
Punguza matumizi ya vilevi hasa pombe kali,sigara na usitumie kabisa madawa ya kulevya....
Punguza kutumia sukari na chumvi nyingi, jikinge na magonjwa ya zinaa pia acha punyeto....

Yote hayo ni ikiwa unataka kuendelea kufurahia siku yako ya kuzaliwa kwa miaka ijayo.
 
Nimeumia sana moyo, na haki kusherekea ukizingatia madogo tulio kua nao pamoja wengine washa tangulia mbele za haki mkuu tena kwa mateso kaka acha tu nimshukuru mungu mtaani kwetu kulikiza na battle ya wazee hivi ilikua vita ya sobibor na hittler
Sawa we ishi tu, usiwaze sana. Kufa ni constant
 
Sasa kama best leader unachanganya hangaya lissu sijui polepole mara msoga khaaa kweli happy birthday mtoto mzuri ila kaza kuwa wa kiume kama una jinsia ya kiume hayo mambo ni ya kike sana
Kaka kumbe kilicho kukera ni hao viongozi, pole sana ukiona mabaya ya mtu kumbuka na mazuri yake ndio mana mna tapika mapovu kumbe mna sababu zenu, ahaaaaa nimewajua, hittler alikua mbaya sana ila hao waisrael kwa roho walio nayo , walipaswa kuchapwa sana japo sio wote
 
Bado ni mtoto hata hela ya boxer anapewa na mama kwanini asikumbuke siku ya kuzaliwa, wakati utafika hata hiyo mambo haipo labda watoto wake ndo watamkumbusha birthday zao
Mkuu ukipata nafasi ya kufurahi itumie vizuri

NB:UKIFA HAURUDI
 
🙏🙏🙏🙏🫵🫵 Nashukuru sana mkuu kwa wosia wako, taufanyia KAZI lakini nami niliomba nikushauri kitu, ukiona umepata Fursat ya kuiona leo sherehekea amini Kuna watu wanakufa Kila uchao, washkaji zangu wa utotoni, hawakutumia vilevi vyivyote lakin walitangulia hata 20s hawakufika mkuu so sad, tumsifu na kumshukuri maulana
 
Mkuu ukipata nafasi ya kufurahi itumie vizuri

NB:UKIFA HAURUDI
Achana nao hao wanadai kosa langu nikum changanya lissu na Samia na jakaya kikwete sasa kwenye maisha yangu binafsi wanataka niweke siasa Yani hi tanzania hii, sijui nani alieleta ma siasa
 
KATIKA KITU NACHUKIA NI MA SIASA YANI HUA NACHEFUKWA BASI TU, SABABU NI. CHANZO CHA SISI KUPOTEZA NDUGU ZETU WENGI NI CHANZO MPAKA LEO MTU ANASHANGILIA MSIBA WA MWENZAKE INANI UMA SANA, NINGE KUA NA UWEZO NINGE FUTA MAVYAMA YOTE TUISH TU FREE HUENDA NDUGU ZETU KIBAO WANGEKUA HAI MPAKA LEO, HUENDA TUNGEKUA NA AMANI WOTE, NAUMIA SANA SANA SANA
 
Sawa.ikiwa utapenda kufanya muziki usichukie umaarufu
Sio Kila msanii ni maarufu mi nikisha PATA tu uhakika wa maisha hata Yale tu ya kujimudu na kusaidia wazazi ndug na jamaa watanzania wenzangu, toshaa kabisa bhasii nayawacha ma mziki napita hivi, narudi zangu kijijini huko kukaa zangu nakufanya shughuli za kawaida tu nakupumzika kusuburi ni Rudi kwa baba yangu kipenzi, maulana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…