Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,038
- 8,970
Mh... kuna usalama kweli hapa?Mwanamke kushehekea birthday ni ........View attachment 3685798
Nawe huamini kwenye mungu? Mana mi nashukuru mungu kwa kunichagua tena wengine wamefariki, wengine wapo jera, wengine wapo hospitalini mkuu unataka nisifurahie? Basi una tatizo kichwanMtot wa kiume kusheherekea birthday ni ........View attachment 3685798
Aseee Asante sana tena na tena mkuu nakukubali sanaHongerrrrla sana mkuu!
HAPPY BIRTHDAY TO YOU 🎉🎉 🎂 🎂 🎂Nakushukuru mwenyezi mungu mwingi wa Rehman mwenye kurehemu.
Nawashukiru wazazi wangu kwa kuwa sababu ya mimi kuwa hapa leo hii.
My short diary.
Mkuu shukrani sana ubarikiwe pale ulipo toa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Happy Born Day BrodaView attachment 3685800
Mkuu huu Uzi sio wa challenge kaka samahani sana huu Uzi ni wafurahaa vipi umesha kula lakini? Au una njaa,🤣🤣🤣🤣🫵 nakutania mkuuHAPPY BIRTHDAY TO YOU 🎉 JIBU MASWALI HAYO ⁉️⁉️⁉️
Acha utotoNawe huamini kwenye mungu? Mana mi nashukuru mungu kwa kunichagua tena wengine wamefariki, wengine wapo jera, wengine wapo hospitalini mkuu unataka nisifurahie? Basi una tatizo kichwan
Asee nashukuru sana mungu Iko hivi wale madogo wenzangu nilio kua nao benet Yani majirani wa kiume tumebaki wawili tu wengine washa tangulia mbele za haki wakiwa wadogo hata 20s hawakufikaMaisha marefu
Furaha Nimefurahi Sana... Alexido jz instagram 🎉🎉🎉🎉Mkuu huu Uzi sio wa challenge kaka samahani sana huu Uzi ni wafurahaa vipi umesha kula lakini? Au una njaa,🤣🤣🤣🤣🫵 nakutania mkuu
Washkaji zangu walitangulia mbele za haki nilio kua nao we hutaki nimshukuru mungu hiyo ujerumani unayo ishi ni hii nayo ijua au, mana ni empty kabisa Yani huna sifa za kuishi njee, au uko chato hapo unatuzuga mkuu, eehh sinina kuuliza?Acha utoto
sasa nini kinachokufurahisha hapo
Hahahahaaaaa🤣 kaka Asante sanaFuraha Nimefurahi Sana... Alexido jz instagram 🎉🎉🎉🎉
So Sad Aseee .... PoleWashkaji zangu walitangulia mbele za haki nilio kua nao we hutaki nimshukuru mungu hiyo ujerumani unayo ishi ni hii nayo ijua au, mana ni empty kabisa Yani huna sifa za kuishi njee, au uko chato hapo unatuzuga mkuu, eehh sinina kuuliza?
Hahaaaaaa🤣 kaka nisha stafu hizo mambo, nadhani labda ikayo inshallah takodi yatch zile jahazi taalika member wachache tulemonde kadansieTafuta pisi peleka moto haswa
Hbd bila kwichikwichi ni sawa na mei mosi