Happy Birthday to Me...Mentor

Happy Birthday to Me...Mentor

Happy birthday mkuu . Ila kwenu wachoyo hadi mkimeza mate mnajificha . Lol

Hahah..asante mkuu ila acha uchokozi bana...
unakuwa kama litoto lililozoea kulia mpaka likikosa cha kulia linajifichia mdoli wake mwenyewe afu ndo apate sababu!

Happy birthday Mentor...imefika mingapi?
mimisa, jus enough to walk you down the aisle!:A S shade:
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahaha duh haya bwana ila naskia kwenu kuchafu hadi mende wanavaa viatu .
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa..Have a remarkable one!!!
With agape love from Dareda!!!
 
hahahahahahahahaha duh haya bwana ila naskia kwenu kuchafu hadi mende wanavaa viatu .

kijana wantafuta ubaya mie...muone mashavu ka mimba ya panya!

Heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa..Have a remarkable one!!!
With agape love from Dareda!!!

Wow..Babatiiii...senkyu very much me dia!!!!
 
Ni siku kama ya leo miaka thelatha karibia
tarehe kama ya leo asubuhi iliwadia
upepo na vipepeo angani vilirukia
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

baba kapigiwa simu kidume mejipatia
akaiacha kalamu mitihani kakimbia
imemjaa mihamu mtoto kumpokea
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

Miaka mingi mepita vikwazo nazo huzuni
furaha nimezipata na ya simanzi moyoni
kwa neema nimepata kuona mema machoni
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

:A S-baby:

Hongera sana Kiongozi ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom