Happy Birthday to Me...Mentor

Happy Birthday to Me...Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,940
Ni siku kama ya leo miaka thelatha karibia
tarehe kama ya leo asubuhi iliwadia
upepo na vipepeo angani vilirukia
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

baba kapigiwa simu kidume mejipatia
akaiacha kalamu mitihani kakimbia
imemjaa mihamu mtoto kumpokea
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

Miaka mingi mepita vikwazo nazo huzuni
furaha nimezipata na ya simanzi moyoni
kwa neema nimepata kuona mema machoni
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

:A S-baby:
 
Happy birthday Mentor uwe na wingi wa siku njema na afya njema kumbe leo nawe wakumbuka kuzaliwa kwako kama Bakulutu? kwanije kutotuambia tukumie kadi basi pokea hichi kitu kidogo hapa chini ule na familia yako. Function itakuwa wapi best?
haya kinga mikono upokee hiyo keki
 
Last edited by a moderator:
Jamani nitapeleka motion bungeni Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mtu apewe off kazini...ndo mambo gani haya ya kuwekana kazini mpaka mida hii...kesho lazima niingie saa sita!!!!

Kwa wale watakaoweza kuvuka maji...Kigamboni kwa Mwingiraaaaa......:majani7:
 
happy birthday mkuu....:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Happy Birthday buddy! Kwanini umechelewa kutoa taarifa tangu mapema?
 
q
happy b'day hii saa inakufaa sana.
 
Happy Birthday buddy! Kwanini umechelewa kutoa taarifa tangu mapema?

Kaka Arushaone..utu uzima huu kaka..nmesahau mm. Kuja kukumbuka ni sms na calls afu ndo job nmetoka kama six ivi..apa na dompo-ika kesho tutajua itakuaje. nivea where r u at..kenjo na kunu.
 
Last edited by a moderator:
q
happy b'day hii saa inakufaa sana.

Huez amini ni jana tu nmemwambia bro i want to upgrade my wrist watch...i think hii ni nice model ya kutafuta...asante Asnam.
 
Last edited by a moderator:
Ni siku kama ya leo miaka thelatha karibia
tarehe kama ya leo asubuhi iliwadia
upepo na vipepeo angani vilirukia
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

baba kapigiwa simu kidume mejipatia
akaiacha kalamu mitihani kakimbia
imemjaa mihamu mtoto kumpokea
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

Miaka mingi mepita vikwazo nazo huzuni
furaha nimezipata na ya simanzi moyoni
kwa neema nimepata kuona mema machoni
kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba.

:A S-baby:

Mentor hongera sana mzazi
 
Last edited by a moderator:
Kaka Arushaone..utu uzima huu kaka..nmesahau mm. Kuja kukumbuka ni sms na calls afu ndo job nmetoka kama six ivi..apa na dompo-ika kesho tutajua itakuaje. nivea where r u at..kenjo na kunu.
heheheheheh hapy bday japo kwakuchelewa kidogo umesikia yule mwanafunzi wa IFM aliyejirusha jana huko baharini ?
 
heheheheheh hapy bday japo kwakuchelewa kidogo umesikia yule mwanafunzi wa IFM aliyejirusha jana huko baharini ?

MH mbona kunishtua hivo my dia...kisa nini?
 
MH mbona kunishtua hivo my dia...kisa nini?
ndio habari yenyewe Mentor wa first year lol hasara wewe hujaisikia au umepiga mbizi leo mwenzanguuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Broda Mentor

Siku nyengine uwe unatualika ukiweka uzi kama huu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom