Happy birthday to me jamani!

Happy birthday mamito, M/Mungu akulinde akuongeze miaka mingi ya furaha....
sweetlady andaa ukumbi kwa ajili ya shughuli ya jioni akikisha umewasilaiana na Erickb52 vinywaji vyote viwepo ukumbine haswa azidishe crate za ndofu hata kama hazimuhusu kwa kipindi hiki za bure atakamata Arushaone vinywaji vikali visikonekane kwa ajili ya kucheua Nicas Mtei andaa gari la kumpeleka mtoto ukumbini
 
Last edited by a moderator:


 
Last edited by a moderator:

yap kuna thread ilikuwa humu sikumbuki ya nani vzr ilikuwa kama anauliza ni vibaya mwanaume akakukuta na vitu vyako(mali) sikumbuki vizuri, nakumbuka nilimshauri achakarike sana tu mana wengine tunatamani kama kwasasa na sisi tungekuwa tunajitutuma kivyetu vyetu, but bado silaumu sana yote maisha na hayawezi kwenda sawa, ya nyamayao hayawezi kuwa sawa na ZD, MW1 Preta etc, mambo yanatofautiana japo najua sijachelewa sana napambana kuliko maelezo, hahaha damu ya kichaga hii inakesha inawaza pesa/maendeleo na ndipo hapo msishangae ninaposemaga najenga/baadhi ya maendeleo nayafanya mie kama nyamayao na sio kama mr&mrs, nina sababu zangu nyingi sana za kunitosha kufanya hivyo,na kwa upande wangu ndio njia sahihi kwangu, yeye ananichanganya kwenye zake but asihoji/wasihoji kwanini mie simchanganyi, avute subira mbeleni huko inaweza tokea, hahahah..hiyo red DC UNANISOMAGA POA KWELI, NIKISEMA BINTI YANGU WA KWANZA(wa msukuma) huelewi hiyo bracket? binti yangu wa kwanza ni mtoto wa msukuma niliemkuta nae, nimeolewa na msukuma akiwa tayari ana kabinti ndio hako nakaita ka kwangu ka kwanza, nimesomeka? wangu wawili, na kabinti kangu ka msukuma wanakuwa watatu,huwa siwezi kusema nina watoto wawili aisee, kale ni ka kwangu pia.
 

nadhani sipo hapo kabla sijakununia, khaa nachukiaga kweli, yaani mie na kashikashi zote hizi na kunyonyesha watoto wawili na baba yao utaniweka hapo kweli? natamani nikutukane kinyumbani.
 
hahahahah lol! Nyonyo tamu NY!!! We acha tu.

nadhani sipo hapo kabla sijakununia, khaa nachukiaga kweli, yaani mie na kashikashi zote hizi na kunyonyesha watoto wawili na baba yao utaniweka hapo kweli? natamani nikutukane kinyumbani.
 

thanx sana BW....
 
Happy birthday 2u,happy.,...birth *2 :by solid groundfamily
 
hahahahah lol! Nyonyo tamu NY!!! We acha tu.



hahah BAK...we wacha tu, tena watoto wangu walishasahau kunyonya zamaniii, sasa hivi namnyonyesha hilo kubwa lao bado naitwa hivyo? nyonyo imefika magotini atiii.
 
Hahahahaha lol! akirudi nyumbani tu baada ya kusalimiana anaanza, "Naomba nyonyo." 🙂🙂


hahah BAK...we wacha tu, tena watoto wangu walishasahau kunyonya zamaniii, sasa hivi namnyonyesha hilo kubwa lao bado naitwa hivyo? nyonyo imefika magotini atiii.
 
Last edited by a moderator:


hahahaha, nimecheka mpaka nimepaliwa haki ya nani vile, unajua nini DC ndio mana sipendagi kusema umri wangu, labda kwa wanijuao wanaoweza kutabiri/otea huwa wanajaribu hilo, ki ukweli sipendi mtu aseme ni bado mtoto, mmama na watoto kadhaa naitwa mtoto,kingine nikiwaambia watu nina watoto hawaamini,hapo ndio nakasirika zaidi, na kama sio hii nembo hapa kidoleni(ring) nikikutokezea wewe utasema kigori ndio huyu, haahahah naita bado atii.
 
Nyamayao - Kumbe kuwa na Ma-ID kibao inapendezaga? Naona leo umetoka "Real" - Happy B'day
 
Hahahahaha lol! akirudi nyumbani tu baada ya kusalimiana anaanza, "Naomba nyonyo." 🙂🙂


tena bila aibu, hahaha na anavuta haswaa.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Nyamayao - Kumbe kuwa na Ma-ID kibao inapendezaga? Naona leo umetoka "Real" - Happy B'day

Baba E, nakuheshimu sana sana tafadhali, usinipeleke huko plz plz wala tusitibuane, nina sababu gani ya kufanya hivyo? nimekosa kazi au? kama wewe una muda wa mchezo huo ni wako plz, wengine hatuna mida michafu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…