Happy birthday to Me. Happy birthday to all team June

Woooozaaaaaaaaaaaa...happy belated birthday to my beatiful Shadeeya ❣❣❣❣❣❣❣Nimeshakuzoea na ile id nyingine hii hunipa tabu kidogo ila sio mbaya❤

Happy belated birthday to these pipo... Joanah and MBIIRWA 💞💞💞💞💞

Aiseh we need to something💗💗💗haki tena.
Ahsante Mdogo.

Hahahaaa!!! Pole mdogo wangu huwa inatokea ila nizowee bana.

Hakika tunastahili kufanya kitu aisee. ;);)
 
Nimekuzidi siku 16,

Ila mimi siku hii huwa ni siku ya huzuni kulio furaha
Huku nikijua wazi niko karibu zaidi na mwisho wangu kuliko mwanzo wangu,

kwani kila unavyo ongeza miaka, uko karibu na kifo na siyo uhai kamwe.

Lakini wacha tujipe moyo, tuendelee kuponda maisha, tukibashiri kuwa tutaendelea kuwepo duniani kwa bahatinasibu.

Ila la hakika ni kuondoka na kuiacha dunia tukiwa na mizigo tele ya matendo yetu mazuri na mabaya

Kithirisha matendo mema na punguza matendo mabaya.

Mungu awabariki wato team JUNE chama langu la kati kati ya mwaka.
Labda umeshakimbiza age sana, watoto na vijana wao wanafurahia ila sisi age imeenda kila birthday ni kuukaribia mwisho...
 
Labda umeshakimbiza age sana, watoto na vijana wao wanafurahia ila sisi age imeenda kila birthday ni kuukaribia mwisho...
Cha msingi ni kushukuru mkuu...
Kuna wengine wanafika mwisho bado wadogo kabisa,vijana nguvu kazi..watoto..
Nafiki la muhimu ni kuwa kila nafsi itaonja mauti.tuzidi kujiombea mwisho mwema🥂🥂🥂
 
Cha msingi ni kushukuru mkuu...
Kuna wengine wanafika mwisho bado wadogo kabisa,vijana nguvu kazi..watoto..
Nafiki la muhimu ni kuwa kila nafsi itaonja mauti.tuzidi kujiombea mwisho mwema
Ilà Chak, anavyosherehekea mwenye 70 ni tofauti na mwenye 20.
 
Happy Birthday to us, mimi ni June 15
Habari ya asubuhi JF Family.

Mnaendeleaje leo ninafuraha sana jmn kha!sio kwamba nimeongeza mwaka mpya tu..hapana ni kwa sababu nimeongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema na uzima pia.Mungu kwa hii nafasi ya pekee sana kwangu.

Ndani ya uzima na afya, utaweza kwenda popote,kufanya chochote,kupigana na chochote na mengineyo mengi

Kwa team Gemini na kwa wote walizaliwa June, happy birthday to us

With
 
Happy birthday, nimekuzidi siku kadhaaa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom