Mh! baby unalalaga sangapi nakuamka sangapi..?Happy birthday to you 🎂
Duuuh hivi,badoHappy Born Day upcoming mshangaziView attachment 3337766
Huyo Grahams mwaka 1947 alikuwa kijana mkubwa tu, kwa sasa ni babu msalimie lazima atakupa ya keki.AHsante
47 si hapa ni mbali😁
Kumbe wewe ni KE?Oooh ushangazi unanikaribia