Ooohhh swiiiry!ha ha....sikujua kama una birthday moja na one of my sugarcakes.....
Happy Birthday honeycake.......
Na wewe umeibukia wapi?Happy bday Derimto...Uwe na kheri katika siku utakazopewa na Mungu.
Na wewe umeibukia wapi?
Sikutegemea kuwa nitajifunza jipya katika umri huu!...kumbe na wewe unaweza kususa watu kiasi hiki?..ok!..ok!...ok!
You mean shemeji mtu chake au TANMO?...ha ha....sikujua kama una birthday moja na one of my sugarcakes.....
Happy Birthday honeycake.......
Ooohhh swiiiry!
Kumbe unanikumbuka kiasi hicho...ujue mm mwenyewe nilikuwa nimesahau!..asante potato-cake!
ha ha....sikujua kama una birthday moja na one of my sugarcakes.....
Happy Birthday honeycake.......
Ooohhh swiiiry!
Kumbe unanikumbuka kiasi hicho...ujue mm mwenyewe nilikuwa nimesahau!..asante potato-cake!
You mean shemeji mtu chake au TANMO?...
@ Derimto happy birthday to you, happy birthday to you, happy birthday dear Derimto happy birthday to you, how old are you now?, how old are you now?.. Kata keki tule...
Mie, Preta na Black Woman tushafika ukumbini kwaajili ya kuanza shughuli ya upambaji...
TANMO kalowekewa nguo na jimama sijui zitaanikwa lini.....
my sweet caramel.....mtu chake....yeye huwa tunaadhimisha kila siku.....
Black woman lete zile futuza tuweke hapa....sweetlady toa hii meza weka kule....wee Kabakabana yule DJ kasemaje..? Lily wapi mpishi...
Preta!
Hayo mapishi yenu kama ni chipsviazi,
viazi mie siliiiii !
Inakuaje kuhusu m'badala ?