Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 6,796
- 12,676
Leo kazaliwa mwanamke mrembo na mwenye kujiheshimu.
Heri ya siku ya kuzaliwa rafiki
Heri ya siku ya kuzaliwa rafiki
Mkuu ngoja aje ataiwekaHpbd kwake ila weka photo
Ndo najaribu kuiweka hapa mkuuHeri ya kuzaliwa.
mleta mada weka picha yake tuone huo urembo.
Ahsante nashukuru. Picha Itafuata baadaeHeri ya kuzaliwa.
mleta mada weka picha yake tuone huo urembo.
Ukiweka pic unitag rafikiAhsante nashukuru. Picha Itafuata baadae
Ahsante nashukuru. Picha Itafuata baadae
UsijaliUkiweka pic unitag rafiki
heri ya kuzaliwa emmyta, Mungu akupe maisha marefu