BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 485
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi hadi siku ya leo, mengi yamepita amenipigania na wapo wengi humu ndani tumezaliwa siku moja wengine ikiwa ni mwaka mmoja nami wengine eitha ni wadogo ama wakubwa kwangu nichukue nafasi hii kuwatakia kila la heri kwenye siku hii ya pekee ya kuadhimisha siku yao ya kuzaliwa.
Happy birthday to all my twins 😛arty::violin:
Happy birthday to all my twins 😛arty::violin: