Happy birthday Tanzania hip hop icon Nicas John Machuche

Moja ya interview zake NIKKI MBONA huleti nyimbo zako kwenye media?

Jibu.

Kwani Lil wayne alishakuletea nyimbo yake
hahaha umenikumbusha hii interview huwa inanifurahishaga sana

alisema eti top 20 ya hits za bongo unakuta chris brown naye yumo halafu watu wa media hawachezi nyimbo zetu za hip hop ukiwauliza wanakuambia hujawahi kuleta kazi zako...lini chris brown alifunga safari kuwaletea album yake muicheze hapo studion kwenu?

Hakuna kama nikki mbishi kwenye upande wa interview yani kuna wakati unaona sasa mtangazaji ndio kama anafanyiwa interview, jamaa ana hoja nzito fatilia ile interview ya kikosi kazi ina lisaa limoja mwishoni mtangazaji alikiri kwamba katika career yake hiyo ndio interview yake bora kuliko zote
 
Haongeagi pumba kama Diamond na wenzake
 
Mskie dizasta

Fuvu limeshiba mautundu kwenye kichwa, Niko UNDERGROUND na huku ndio mitutu inakofichwa.../

Mskize nala

Huvumi kwa UJUZI, unachana nini zaidi ya uhuni na ushuzi.../

Ukiona nakichunia nawe chuna, utanambia nini amekuinspire YOUNG LUNYA.../

Waskie watema nondo

Nipo tofauti kidogo ukinita CHIPUKIZI umenidhalilisha, ukinita SUPERSTAR umenifananisha.../

Kuwa UNDERGROUND sio kuwa mainstream failure, mc sio kuwa husle cause husle is for the failure.../

Halafu niambie umejifunza nini
Weka audio ili tusikie hizo panchi hapa ni tunasoma
 
Moja ya bars zake

Fungu la kupata, ndio la unju mazafaka.../

La kukosa la mazuzu zumbukuku wanafyata.../

Mgambo wanaruka na kukanyagana, mzuka kama unabana.../

mwana shuta au acha danadana.../

Msiniulize wimbo gani
Nipe link Mkuu wa huo wimbo ,jamaa namkubali sana na flow zake na pia bar zake za sala KK nikubali......Kuna wimbo anasema anazichanga ki hushpappy
 
Umekuja kujianzishia thread humu? Msanii gani huyu analilia show, kwa nyimbo zake amuite Nani? Anasifiwa Hadi na Young lunya show zote kubwakubwa yumo
Wewe Niki ni fwala tu, watakusikiliza hukohuko buza na kwa mpalange
We unamsikiliza nani na nani
 
Umekuja kujianzishia thread humu? Msanii gani huyu analilia show, kwa nyimbo zake amuite Nani? Anasifiwa Hadi na Young lunya show zote kubwakubwa yumo
Wewe Niki ni fwala tu, watakusikiliza hukohuko buza na kwa mpalange
Hip hop usikivu huwezi fuatilia sebeni INFACT nikki unamjua na yeye hakujui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom