Happy birthday Tanzania hip hop icon Nicas John Machuche

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Siku kama ya Leo miaka kadhaa uko nyuma alizaliwa mfalme wa HIP HOP TANZANIA NIKKI MBISHI namtakakia heri katika siku yake hii Mungu ambariki.

Ametamba na VIBAO kama Playboy , Sauti ya Jogoo, PRICELESS, I'M SORRY JK .

LIVE LONG LEGEND.View attachment 1717138

download.jpg
 
Hivyo vibao alivhotamba navyo labda vibao vya mbuzi.
Msanii gani miaka zaidi ya 10 ni underground.
Si ndio huyu aliyekuwa analilia kupewa show?
Mskie dizasta

Fuvu limeshiba mautundu kwenye kichwa, Niko UNDERGROUND na huku ndio mitutu inakofichwa.../

Mskize nala

Huvumi kwa UJUZI, unachana nini zaidi ya uhuni na ushuzi.../

Ukiona nakichunia nawe chuna, utanambia nini amekuinspire YOUNG LUNYA.../

Waskie watema nondo

Nipo tofauti kidogo ukinita CHIPUKIZI umenidhalilisha, ukinita SUPERSTAR umenifananisha.../

Kuwa UNDERGROUND sio kuwa mainstream failure, mc sio kuwa husle cause husle is for the failure.../

Halafu niambie umejifunza nini
 
Hawezi kueleweka
 
Moja ya bars zake

Fungu la kupata, ndio la unju mazafaka.../

La kukosa la mazuzu zumbukuku wanafyata.../

Mgambo wanaruka na kukanyagana, mzuka kama unabana.../

mwana shuta au acha danadana.../

Msiniulize wimbo gani
 
Alafu anakeambia Police niache niende mwanangu nitakupa Rushwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom