TANMO usimsikilize PakaJimmy ameanza majungu yake!
andybird314 ahsante mpendwa
Nicas Mtei nashukuru best friend
Magaya D.W pamoja sana mpendwa
Swts mie pia kichwa sana tu lol.....ahsante sana dia
kapistrano Amen dearest
Bishanga nitonye kasema acha kumsingizia
Hahahahahaaa Blaki Womani mwambie na Ndofu mbili sa moto please
Hivi Pacha kati ya Fillipo, Nitonye, VinDiesel, na wale wengine,,, ni nani hasa Shemeji yangu? Lol...........
Kwa hiyo kama hujazipata?
Hivi Pacha kati ya Fillipo, Nitonye, VinDiesel, na wale wengine,,, ni nani hasa Shemeji yangu? Lol...........
swali zuri ngoja aje ajibu hapa
Mie sitii neno Blaki Womani,Hongera sana sweetlady. ..... Ila hili jina nalo ni gumu sana kulitamka..lol!Nitakuja baadaye kidogo kukipa nguvu kikosi kikamwimbie mtoto!
Happy birthday my dear wife, my love. Furaha ilioko moyoni mwangu ni kubwa hata kuilezea nashindwa zaidi ya kukuambia happy birthday. Mimi na mtoto wetu tunakutakia miaka mingi na heri duniani
Thats my gal! Hii imenipitaje? My best wishes uendelee kubakia kijana na busara kama kawaida yako, penye udhia weka uchangamfu wako.....happy birthday mpendwa
Nipigie wimbo wa 'a new day has come' by celline dion mahususi kwa my wife sweetylady
We nae sa zote ulikuwa wapi?
SL najua una hengover,nakupa preskripshen:
Chukua limao,changanya na maziwa ya paka,saga jicho la kunguru korogea kwenye mkojo wa kuku vyote tia kwenye chungu kimoja chemsha kunywa.
Heheheheheee mi nilisikia unamwambia
Madame B "Twende basi jamani mbona unaleta mapozi?"
Mara nkamsikia Madame B anasema "Sa siusubiri ruttashobolwa alewe kwanza ndio tumtoroke mbona una haraka?"
Heee mara nikavutwa na Kipipi anataka tule zetu kona eti baridi imemzidi na eti mi ndio nilimeleta so anataka tukapumzike basi nkaamua kumeleka mapumziko kuleeeeeee....hapa ndio tunashtuka hata kazini tumeshindwa kwenda!