Chairman popote pale ulipo naomba uihifadhi hii sentensi hapa kwa ajili ya matumizi ya baadae.kama ile ya jana ilikua kusukutua,basi naomba poo! inabidi kubadilisha definition ya 'ulevi', manake wapo wanyao vilevi na hawalewi. kama hujaelewa mazoezi ya kung fu moves yanaashiria nini,bora leo uage unaenda kwa bibi yao matesha afu urudi kesho na ka-stout. wafwaaa!
Usirudie tena!God Forbid!!! Basi nilikua natania....
Hujajua? Ngoja nimwite hommie aje akufafanulie......yaaallah! uanachama wa nini tena? ashadii njoo kwanza unitetee manake nahisi hapa nachafuliwa cv!
Oupos! Done!😛hoto: Kadi ya uanachama namba 32.
Shem, vigezo vilivyotumika hivi hapa chiniWifi King.... Mie hapa hata wee wanitia wasi... nivigezo gani wametumia kukuchagua??
Says King'asti..........:tongue:kama ile ya jana ilikua kusukutua,basi naomba poo! inabidi kubadilisha definition ya 'ulevi', manake wapo wanyao vilevi na hawalewi. kama hujaelewa mazoezi ya kung fu moves yanaashiria nini,bora leo uage unaenda kwa bibi yao matesha afu urudi kesho na ka-stout. wafwaaa!
Shem, vigezo vilivyotumika hivi hapa chini
Says King'asti..........:tongue:
Lol... Una mkwara!Opposite?....... Opposition?........... Oppose?...... Wanna attend my funeral ceremony?
Sante ODM...Hahahahaa......... Guys! Talking behind ODM's back? Hell NO..........This is LOVE............ And know what? ODM loves you too guys!
Katibu sijathibitisha, hiyo kadi ni batili. '😛hoto: Kadi ya uanachama namba 32.
Katibu sijathibitisha, hiyo kadi ni batili. '
'Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa'- source ODM.
Hahahaha.......... huyu ndo ODM bana!Lol... Una mkwara!
Say something, shem. At least a word.Dah!!! -speechless-
Utashtakiwa kutaja source kwenye habari inayoweza kutishia usalama wa (sourcer?)......LOLKatibu sijathibitisha, hiyo kadi ni batili. '
'Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa'- source ODM.
Mwambie na mfadhili kabisa ili asiulize tena baadaye.SL, katibu ni RR...
Tatizo sherehe ikiisha... hakuna la ziada...lol... Bigi naamini kama watumia utapata upendacho kuna kila aina hadi Ulanzi...