ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,474
- 119,176
Peke yako hulali, unapumzika tu!Mmmhhh
Mbona unanikatisha tamaa lakini kaka yangu!

Peke yako hulali, unapumzika tu!Mmmhhh
Mbona unanikatisha tamaa lakini kaka yangu!

Huwezi kulala usingizi, unless una mtu unalala nae. Otherwise unajipumzisha tu mdogo wangu.
Mmmhhh
Mbona unanikatisha tamaa lakini kaka yangu!
Peke yako hulali, unapumzika tu!![]()



Ninayelala na mito yangu nimekuelewa sana EliAsante shunie, tujaribu kumuelewesha mdogo/dada wako.Ninayelala na mito yangu nimekuelewa sana Eli
HahhaahAsante shunie, tujaribu kumuelewesha mdogo/dada wako.
Hataki, hivi peke yako unalalaje? Haha! Tumwombe dada Sakayo akapumzike usiku umeingia....haha! Wanaolala usingizi ni walala chiu, wanachoshana then wakiangusha gari kweli wanapata usingiziHahhaah
Kwamba hataki kukubali ukweli kuwa kulala peke yake ni kujipumzisha tu
Toka mwaka jana sijui mwaka juziHajawahi kunipaa
Mapumziko mema mdogo wangu!!Basi nitapumzika mimi jamani kaka
Hivi ubishi haujaacha tu?
Jamani tunaoteseka sisi tunaopumzika nikiwa mkubwa natamani kuwa kama nyinyiHataki, hivi peke yako unalalaje? Haha! Tumwombe dada Sakayo akapumzike usiku umeingia....haha! Wanaolala usingizi ni walala chiu, wanachoshana then wakiangusha gari kweli wanapata usingizi

Utaweza kulala bila nguo?Jamani tunaoteseka sisi tunaopumzika nikiwa mkubwa natamani kuwa kama nyinyi![]()