Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Hivi ulifika salama kweeli...
Leo ndo nakumbuka aki!

Huyo Shunie hajuagi hataa mtu akilia... Ila yeye akianzaga kunililia nambembeleza
sakayo una nini yaani uniulize Leo kama nlifika salama...chaa...walinikabua..

Shunie alikua wawili kichwani mwenzio anaenjoy pombe we unajiliza hahaaa....mlevi si mtu atiii!!!
 
Back
Top Bottom