Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Nafurahi kusikia hivyo nakupenda mwayaWala hata hujanikwaza kihivyo.
Nafurahi kusikia hivyo nakupenda mwayaWala hata hujanikwaza kihivyo.
Msg nzuri balaaaaDear Shunie
Today is your birthday!
Thank you for being you today, and every other day. Thanks for making me laugh. Thank you for holding my secrets and for trusting me with yours. Thank you for letting me in on your plans and for helping me with mine.
Nakupenda.
With Love
S....
Asante sana baba wawili wanguKheri ya kuzaliwa shangazi!!nikutakie maisha marefu yenye furaha na baraka tele!

nakupenda
Hahhaha ebu nenda bwana ujue mm leo ni katotoMie pia naogopa
Sawa tuu. NajuaSisi ni mmoja ujue
Hamu ipotee kabisaaaHahhaha baba paroko hana hamu na wewe
Nilisafiri ba mkweIla mwaliko wa Christmas sijaupata mama mke mbona ulinisahau
Huna ulichonikosea nakupendaAwww!! Much thanks dear, bless u
Nakupenda geni wangu
Dahmmejua kuniliza mimi sikutegemea kukutana na haya nawapenda sana yaani sana
Nyie wadada leo mmejua kuniweza Raynavero Sakayo mzigua90nawapenda
Asante sana Mello kwa kunikunitanisha na nyie kuna mda tunakwazana lakini baade tunakuja kupatana
Kama kuna nilichowakosea naombeni mnisamehe nawapenda sana![]()
Jamani nimejisikia vibaya mmMachungwa tusamehe bure jamanii, ujue tumezoea utani eeh! Usichukie please
Thank youFine
Hahhaha huwezi kufwa bwana ebu kanichukulie tutagawanaAkuuuuu
Mie sijui kukufwa eeehhh
Kawaida yangu ujueUlibyomjibu sasa kwa heshima
Hahhaha kakushindwaHamu ipotee kabisaaa
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha



Unarudi lini kwa baba wewe mwanakondoo umpotevu
Tanga
Sadaka tuMbona mwanakondoo unataka kuomba nini eti
Mfyuuuuu kujikutaKawaida yangu ujue