Ahsante sana jamani. Japo si kwa misifa hii. Lol.Happy birthday dada mwenye ustaarabu wake.
You deserve it mamaaAhsante sana jamani. Japo si kwa misifa hii. Lol.
๐๐
๐๐You deserve it mamaa
Ndugu yako umeniacha ujue? Nimetoka kapa hapa. ๐Chuma Hicho
Mlisema Miye Mpole Dawa Kuleta Mkali
nawaletea Chuma Hiki Pale Miye Nilipokwenda Pole Pole Yeye Atakwenda Kwa Speed
Nawaletea Chuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che Che
Mimi Sasa Nakwenda Msoga Nalala Usingizi Baridii
๐คช๐๐๐คฃ๐๐๐๐ฌ๐๐ฌ๐คช๐๐๐๐
Swahiba nimepiga hodi kwenye kile chama chenu.Happy birthday swahiba @Shadeeya,miaka 22 si mchezo swahiba ๐
Karibu sana swahibaSwahiba nimepiga hodi kwenye kile chama chenu.
Ahsante sana Swahiba. ๐Karibu sana swahiba
Ipo huko inbokisiiIla mdogo wangu umenisusa sana ujue.
Haya hiyo mijizawadi iko wapi eti. ๐
Oke oke mdogo wangu. Ahsante. ๐Ipo huko inbokisii