M mimikaye Member Joined Jun 5, 2013 Posts 88 Reaction score 48 May 1, 2022 #1 Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza .
Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza .
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,157 Reaction score 31,334 May 1, 2022 #2 mimikaye said: Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza . Click to expand... Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu?
mimikaye said: Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza . Click to expand... Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,166 Reaction score 69,667 May 1, 2022 #3 Nafaka said: Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu? Click to expand... Hii Nchi Ngumu Sana Sana Mwongoza Njia, Shujaa, Hodari Japo Amelala Kimya Huku Bado Watu Wamaendelea
Nafaka said: Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu? Click to expand... Hii Nchi Ngumu Sana Sana Mwongoza Njia, Shujaa, Hodari Japo Amelala Kimya Huku Bado Watu Wamaendelea
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,372 May 1, 2022 #4 Hivi kumtakia heri ya kuzaliwa mtu ambae amekufa huwa mnakuwa mnamaanisha nini,? Naonaga imekaa km kufuru, ingekuwa unakumbuka siku ya kufa kwake Hai- birthday Mfu- deathday
Hivi kumtakia heri ya kuzaliwa mtu ambae amekufa huwa mnakuwa mnamaanisha nini,? Naonaga imekaa km kufuru, ingekuwa unakumbuka siku ya kufa kwake Hai- birthday Mfu- deathday
Akaliza JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 227 Reaction score 239 May 1, 2022 #5 Let the dead with their stuffs alone. Kaza buti na wewe ufanye kwa kiasi chako
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,761 Reaction score 6,042 May 1, 2022 #6 Ila ni ujinga
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,117 Reaction score 1,249,282 May 1, 2022 #7 R.I.P
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,855 May 1, 2022 #8 Nafaka said: Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu? Click to expand... Maisha magumu kwa hao wafanyakazi wa Tanzania ndio maana mpaka Marehemu wanamtakia heri ya siku ya kuzaliwa. Ebu muulize sasa ametimiza miaka mingapi hapa Duniani kama atakupa jibu. Mishahara ya wafanyakazi ni Ile aliyopandisha mara ya mwisho Rais kipenzi cha Watanzania wa awamu ya 4.
Nafaka said: Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu? Click to expand... Maisha magumu kwa hao wafanyakazi wa Tanzania ndio maana mpaka Marehemu wanamtakia heri ya siku ya kuzaliwa. Ebu muulize sasa ametimiza miaka mingapi hapa Duniani kama atakupa jibu. Mishahara ya wafanyakazi ni Ile aliyopandisha mara ya mwisho Rais kipenzi cha Watanzania wa awamu ya 4.
kajamaa kadogo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,714 Reaction score 6,490 May 1, 2022 #9 Nilivaa viatu vya ruge kwa dakika pindi nasoma thread yako .Nimevutiwa na uzalendo hakika
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,744 Reaction score 25,559 May 2, 2022 #10 kajamaa kadogo said: Nilivaa viatu vya ruge kwa dakika pindi nasoma thread yako .Nimevutiwa na uzalendo hakika Click to expand... Kumtakia mtu happy birthday nayo ni uzalendo?
kajamaa kadogo said: Nilivaa viatu vya ruge kwa dakika pindi nasoma thread yako .Nimevutiwa na uzalendo hakika Click to expand... Kumtakia mtu happy birthday nayo ni uzalendo?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,110 Dec 30, 2022 #11 RIP
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Dec 30, 2022 #12 mimikaye said: Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza . Click to expand... Natamani kuipata Video ya mazishi Ruge R.Mengi JPM B.Mkapa
mimikaye said: Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza . Click to expand... Natamani kuipata Video ya mazishi Ruge R.Mengi JPM B.Mkapa