Wajameni! Wanachitchat na wanajamvi waandamizi na wale wa "siku hizi"
It is with great pleasure kuwa leo hii, our very interactive and friendlu colleague and mod wa hili jamvi, the one and only
Roulette anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.
HAPPY BIRTHDAY shemeji yangu mpenzi.
We love you and wish that you live to celebrate
Your birhday many years to come!
Mwaaaah!!!!!!
Kwa hili najua bado sherehe ya
Erickb52 haijesha vizuri ila
Nawaomba wanachitchat nanwanajamvi wote tujumuike kumpongeza
Roulette.
Kwa kaulo hii namwomba
sweetlady haraka zile kamati usizivunje ila uangalie kama utaweZa kufanya reshuffle kidogo.
Maana kuna kina
PakaJimmy na
Mtambuzi wamelalamika ila
Bishanga ataendelea kuwa ulinzi liwalo na liwe, @ ummu kuluthum atabeba keki na
cacico
My shem atabeba champagne.
We love u
Roulette.
Angalizo, mtoto ako hosp hadi jioni, anaangaliwa na sweet
AshaDii japo naye tumbo limekuwa kubwa!
Asprin hebu niangalozie somesing apo fasta nina kiu!