Mwenyekiti analalamika mnasema anataka kuchonga mzingaBujibuji Simba Nyamaume sio CHAWA, ila nakutakia heri katika maisha yako ya uongozi na nje ya uongozi. Wewe ni mama mzazi wa demokrasia ya vyama vingi ya taifa letu.
So what?Mwenyekiti analalamika mnasema anataka kuchonga mzinga
Amelalamika nn?Mwenyekiti analalamika mnasema anataka kuchonga mzinga
Uzee hi hekima🤣🤣🤣Leo anamiaka 63, ikifika January 27 2025 anakuwa na miaka 65 (anazidi kuwa bibi) still bado anataka kugombea uraisi? Aje astaafu 2030 na miaka 70! Ataiweza nchi katika huo umri wa uzee?
Chini ya raisi mzee alafu ni she (female) kale ka msemo ka Tanzania ni shamba la bibi katuwa mahali pakeUzee hi hekima🤣🤣🤣