Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Me watcghing you closely ujue....
BTT: Happy Birthday my dear sister Preta........ Yaani dah! Ako miaka ngapi sasa?
Hivi hawa baba zetu inaelekea walikuwa wanapenda sana kuwalala mama zetu mwezi May.... Lakini yaelekea baba yangu alikuwa mjanja kuliko baba za wengine kwamba aliwahi kumlala mama yangu wakati baba za wengine wakiwa wako shamba wanalima...... Uthibitisho uko wazi, mie ndo wa kwanza kutakiwa happy birthday mwaka huu..... (Source: Ashadii, January 21st)
Baada ya kusema hayo. ADI hebu come this way tufanye mpango wa mnuso,
Hahaha! Kuanzia kesho uanze kutuletea kama breakfast...Hahahaha!!! Jamani niliamua kwenda na kreti za bia nyumbani ili watu wasiibe, msijali nitakuwa nawarudishia bia moja moja hadi ziishe
Namtafuta BW tunakuja, nilikuwa namwogesha baby gal Preta ndio mana waona tumechelewa kukujoin..niko hapa big L Pub njooni tuzimueni zile za jana
Hahaha! Kuanzia kesho uanze kutuletea kama breakfast...
Hahaha! Au mihogo ya kuchemsha... Sipati picha mkate na biya lolandaa na mkate kabisa chezeiya bia na mkate wewe
Lol... Chezeiya wahuni wa unga limited wewe eeh??? Wanapenda viroba kuliko simu ati!..Haaaaa!!! Vile viroba banaa wakati natembea narudi Unga Limited wahuni si wakanikaba banaa badala ya kuniibia hela na simu wakaiba viroba
Kumbe Preta alizaliwa Jana!!! ndiyo maana leo kavaa kufuli jipya, aisee
Mtafute BW ana mbege yako tulikubakishia jana....afu acheni makelele mtamwamsha mtoto!Happy Bday sis
Tulikusubiri na kibosho kavu yako hujatokea, ikabidi tumtume BW ila hakutuangusha manake alileta ile yenye 'msesewe'...mwambie Sahara mtoto akiamka namfungia mgongoni!Asante bana lakini mi ndo nilitakiwa nilete "kibosho kafu" asee ungmlalia mtoto mamaaang file! Unajua mimi naongea taratibu ila Saharavoice ndo anapika keleeee kelele mamaangu