Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Nicas Mtei ungeniambia kabla ningekuandalia nepi na pampas za kutosha! Anyway nimegundua kuwa karibia mwisho wa mwaka NOV-DEC ni birthdays za members wengi humu!
Happy Birthday and Happy festival season Nicas Mtei.
natumia nafasi hii kukupongeza na kukutakia maisha marefu yenye furaha na neema tele. Mungu aendelee kukubariki hadi ushangae.tuimbe sote happy birthday nicas mtei. mia
Khaaa! Ndio nini kumjaza mtoto maneno hivi?Happy birthday mkuu! Naomba Mungu akupe akili, uwezo na maarifa hatimae uweze kupata "mke wako" ili uachane na wake za watu! Jipange upya Mkubwa!
mbona umetuandikia kiyunani hata google haitambui... au likeki la kibaiolojia limegoma kutokea
Hahahaha! Labda hajanywa uji sis charminglady!Mh... Nicas Mtei mbona huna furaha ktk siku yako ya kuzaliwa???? Unatoa asante kama umelazimishwa khaaaaa......
Hahahaha! Labda hajanywa uji sis charminglady!
Atajiju! Acha sie tuendelee kumwimbia bila kuchokaTehTeh teeeee..... Huyo yawezekana katoswa na watoto wa Kagame :lol: !!!!!!!
Si kawaida kabisa, watu huwa na furaha kwenye siku zao za kuzaliwa lakini yeye wala....
Happy Birthday mpz Nicas Mtei !!!Tukikutana Tanga unikumbushe nikupe zawadi ya Birthday!!!!