Happy Birthday Nguruvi3..!!

Dena Amsi, Lizzy, The Boss na AshaDii bado wana hangover ya wikendi na wajukuu wengine sijui wamejificha wapi...??

The Boss yupo busy na nguo za sikukuu ,Ashadii anahangaikia viungo vya pilau chezea sikukuu weye hii ina shinda hata sabasaba sipati picha na suti yake ya jani la mgomba aliyoipata akiweka na shati la pinki anakuwa kama christmass tree
 
Last edited by a moderator:

Mh secretary umeua.
Shukran sana nafarijika sana
 
The Boss yupo busy na nguo za sikukuu ,Ashadii anahangaikia viungo vya pilau chezea sikukuu weye hii ina shinda hata sabasaba sipati picha na suti yake ya jani la mgomba aliyoipata akiweka na shati la pinki anakuwa kama christmass tree

Ha ha haaah!! Akikusikia mwenyewe The Boss.
 
Last edited by a moderator:
Waungwana,
Nashukuru sana kwa salam zenu. Maua yaliyokuwepo ni yale aliyotuma Madame B, mishumaa hakuna kwasababu ingebidi tuwe na fire extinguisher! si unajua mishumaa na umri.

Anyway kikubwa kilichofanyika ni kutembelea na kuwasalim wagonjwa, kuwatakia afya njema.
Zaidi ni kumshukuru maanani kwa kile alichotujalia.

Katavi ahsante sana kwa kualika wana jamvi. Always JF ni humble, friendly na zaidi.
Mungu awabariki na kuwapa chenye heri kwa kadri mtakavyojaaliwa inshallah.
 
Naona nimechelewa sherehe... Mkuu Nguruvi awali ya yoote naomba piece ya cake kama imebaki... Lol.

Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, kukuneemesha na kukujalia Kheri na Baraka.

:A S-rose::A S-rose::A S-rose:...Happy Birthday Nguruvi...:A S-rose::A S-rose::A S-rose:​
 
Katavi mbona wanisingizia jamani?! Lol. Na majukumu haya ya kifamilia nina hiyo bahati ya kujiachia kwa hangover... hahaha! Situmii bana. Hongerea kwa BD ya Nguruvi3.
Sorry madam AshaDii kuna mtu kumbe alinidanganya.....hahahaaah!! Samahani sana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom