Happy Birthday Mkuu Nguruvi3 wewe ni kati ya wale magwiji wachache sana ambao nikiona post zao awe amechangia au kuianzisha lazima nitupie macho na kujilimbikizia nondo nondo zako mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye heri na baraka Tele.
Sasa mwenyewe yuko wapi jamani? KAtavi kajileta hapa anataka akabdhiwe zawadi za Nguruvi3, zitakua salama kweli? Ukute hata sio birthday yake, ni utapeli wa Katavi tu...
Sasa mwenyewe yuko wapi jamani? KAtavi kajileta hapa anataka akabdhiwe zawadi za Nguruvi3, zitakua salama kweli? Ukute hata sio birthday yake, ni utapeli wa Katavi tu...