Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi 


mie na wewe tunajuana wenyewe
nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.
Happy birthday mama Li


nitarudi acha niendelee na lindo babe.
Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa



mie na wewe tunajuana wenyewe
nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu. Happy birthday mama Li



nitarudi acha niendelee na lindo babe. Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa
