Nasubiri jina full ,au account # nitume senti hz View attachment 803109
huyu Mzigua atakua dada moja anaitwa Seven...Happy birthday wakunyumba Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo unajua vile nakupenda umekubalika moyon hadi mwilini kibonge wangunever had a sister to share but your always there for sharing
mwenye moyo wa dhahabu.
Nakupenda tu mm Yesu azidi kukutunza jamani si unajua we ndio kila kitu eenh
Jamani napokea zawadi za bday girl pm yaani pm mahela ndio muhimu
Hahaha ikawaje sasa?Hahah muongo ndio halafu kuna siku nimefungua pm kabisa yan nataka kukupm
hahahaKaka angu mm jamani mpaka leo haujampora tu mwenye mbebez wake![]()



dada hauko nyuma

Hahaha wewe ni mchaga?Kumbe ni mparee..kiruuu
Kweli kabisaEeenh sema kweli
Eeenh
ina maana hujui