mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
NdioKwahiyo mshipa unanijua
NdioKwahiyo mshipa unanijua
Eeenh usiniambie mapicha yangu na wewe yamekufikia shunie mm
uliyaweka wapi hayo mapichaBasi nitumie namba yake ili nimtumie yeye mwenyewe. Maana hili nililitarajia kwamba lazima utakataa.....haujanitumia mie

Nami natamani kukujua /kukufahamu/kukuona japo kwa suraKwahiyo mshipa unanijua
Nisambazie na mimi basi japo nakufamuyanasambaa tu
Unywe maji tumbo lijae kibofu kishindwe kazi ufanyiwe operation ufe wachumba zako walie NO NO NO




niwekwe kwenye sanduku nizikwe kaburini pekeangu mm,..niozee yeuwiii funza wanikuleeeMm ninywe maji mmWewe ndio unywe maji bday gil ameshasema kuna maji uko

tehteehhh..... Wepambana nalo mwenyewe hilo jumba chakavu ulilo jitwisha....kwahiyo unanisukumia jumba bovu

Unakunywa nnMm ninywe maji mm![]()
Kwani ile yenye umenitumia ni yanani..Nenda pm kwake kupo wazi atakupa no

Tam-chunguUnakunywa nn