Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
- Thread starter
- #81
Una halopesa?Tuma kwenye mpesa nitajiunga mwenyewe mambo gani hayo ya halichachi
Una halopesa?Tuma kwenye mpesa nitajiunga mwenyewe mambo gani hayo ya halichachi
Ndugu yangu bora ukaambie haka katoto,Ha ha haaa hongela sana
Ila uache kumuita andunje ndugu ukaziba nafasi ya wenzako inabidi muwe wanne ujue mpo wawili bado wawili
Una halopesa?



inna ukuje huku kusikia mpesa umenihamishia halopesaInna kanywa savanna dry jana kalala hawezi kuja sa hivi.inna ukuje huku kusikia mpesa umenihamishia halopesa
Tuliishia wapi vile kuhusu kutuma salio eenh tumapo basi ivuga mpesaInna kanywa savanna dry jana kalala hawezi kuja sa hivi.
Tumalizane mm na ww
Una halopesa?Tuliishia wapi vile kuhusu kutuma salio eenh tumapo basi ivuga mpesa
Sina jamani nina mpesa kwani halopesa haina kutuma mitandao mingine eenhUna halopesa?
Mimi sijui.Sina jamani nina mpesa kwani halopesa haina kutuma mitandao mingine eenh
Mimi sijui.
Haya nifate getto au nifate Pm



mfyuuu zako huko atakufata inna wakoUmetisha mtu mzima zimefika zinako takiwa
Angalia usije tengeneza badala ya kuharibuSawa andunje ntaacha
Muche ajitahidi huenda ndo anatengeneza.Ndugu yangu bora ukaambie haka katoto,
Kameniharibia sanaa
Uanduje wa wapi huo MangaMuche ajitahidi huenda ndo anatengeneza.
Shida ni pale watakapo taka kujua uandunje wako ha ha haa
Nimuulize ivuga uandunje wake me wa nini jaman inna anajua uandunje wa bae wake siri wanayo wenyewe wawili
Ha ha haaa hongela sana
Ila uache kumuita andunje ndugu ukaziba nafasi ya wenzako inabidi muwe wanne ujue mpo wawili bado wawili
nataka niwe mwenyewinna ukuje huku kusikia mpesa umenihamishia halopesa
achana na huyo andunje jana nmemwomba tu jero ya vocha kagoma