Hahaaha yeah ni mbilikimoKumbe Saint Ivuga ni andunje?mbilikimo???
Mbona anaonekana mrefu jamani
Happy birthday to you Innamoratha...maisha marefu,yenye mafanikio yawe kwako kipenzi
Kisa nini tena anakudund?Huyu bibie mkorofi sana.
Inawezekana emmy yangu mama klareee anayoHivi inawezekanaga kaka masai?
Happy birthbday.... espy hebu nipe makobaz yangu mie niende kwenye mnuso
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe we mdada?Happy Birthday Jirani. Barikiwa miaka Mungu mbeleni.
jiranThank you babuu
Babu acha uchochezizi ameomba apo makobas ndo mana nkauliza ni mdada?Yani homeboy wangu Kaizer Unamwita mdada???
Omba radhi kabla hajaamka...
Chema kimefadhaishwa sana na hii kauli yan kichochezi. Kwakweli tutahitaji mkojo wako
Hahahahahaaaaa babu bhana
Hahaa ukimuuliza Sky Eclat atakwambia pwani makobazi yanavaliwa na wababa pamoja na kanzu au msuli.![]()
kumbe we mdada?