Happy birthday my love

1468134675778.jpg
 
A brand new year gifted to you by God,
Packed with lots of love & sent to you from heaven above.
All the angels of heaven sing the birthday song,
For today is the day, when on earth, a star was born.
Have a great birthday Dada yangu...Rafiki yangu...Mpenzi wangu Evelyn Salt Nakupenda sana
Ahsante sana mupenzi, nakupendaga....
 
Okay na kwa niaba ya familia ya
Benny na Heaven Sent wanakutakia heri ya siku ya kuzaliwa Evalyn Salt!

HS hope una jumapili njema!
Mmh hii comment yako, bi mkubwa asiione tu, kashavunja uchumba wetu. Eid yote umejikausha bila muamala, ndo tule ugali kwa harufu za kuku wa jirani ama?
 
Mmh hii comment yako, bi mkubwa asiione tu, kashavunja uchumba wetu. Eid yote umejikausha bila muamala, ndo tule ugali kwa harufu za kuku wa jirani ama?
Hahaha...

yule mama atanitoa roho
nimejaribu kumtafuta
lakini simpati
Nahisi kaniblock!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom