Happy birthday my dear JUDGEMENT

shem wangu sosoliso huo mnara signal zake sijapataona, hapa nina mpango kuwapigia kampuni husika wanisaidie kupunguza walau bar moko kama inawezekana.

Na hilo ndilo thibitisho kua mahusiano yetu si ya mtu na Dada/Kaka yake!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa
Keshaanza kushindwa kukufikisha kule anakojisifia kufika?

BTW Mambo vipi YNNAH ?

52!
Muulize shemejio nnavyomkongeshaga!
Namna nnavyompaga "laa-mpaa-looni" sometymz namvinjarisha ku'peak kwa denda tu!
Hapa kwa Judgement ni uzamili na uzamivu!
Kwangu urojo wa viazi hauna nafasi!
Hapa ni ugali-dona endelevu!
Avatar yangu kielelezo tosha! Msaada wa supu ya Pweza kwangu hauna nafasi!.
Sihitaji kuzungusha eria kutafuta signo! Mnara wangu unajitegemea!
 
Last edited by a moderator:
Kabisa kabisa??? Mbona nipo hapa next tuu? Nipo Mahale mwenzio!

Sasa mbona ume'respond late time Da' Mwali? Shughuli ilikua jana!
Nway ngoja tutaangalia siku tukualike supper ya chakula cha usiku.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday shem ingawa nimechelewa

Shem aksante! Si ni bora wewe uliyechelewa! Bt umeniwish?
Kuna watu wangu wengi hawajanitakia wish, na nawajua kwa majina! Mmojawapo anaitwa Preta! Hawa ndy wanasubiri wanipe R.I.P!
Ukiona mtu hakuhongeri kuongeza siku! Hata ukifa mazishini kwako haji.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa
Haya bhana
Hongera YNNAH
 
Last edited by a moderator:

yeah usemayo shem ni kweli tupu ila may be wana dharura. Wasamehe bure
 
Last edited by a moderator:

uwiiiii....shem.......nakomajeeeeee........
unajua w/end huwa napoteza fahamu.....zinarudi siku kama sasa hivi.......nisamehe bure......
naomba ukamate hii kwa niaba yako.......
 
Last edited by a moderator:
Hili swali , kiukweli halikua langu! Lilipashwa lijibiwe na Mamsap!
Coz ndiye anajua vigezo vya mtarimbo wangu! Kwamba hua unategemea upewe lifti ama laa!
Mi nikisema itakua kama najisifu.

acha hizo Judgement.. unakunywa kwa siri ukienda toilet.. yeye atajuaje wakati umefanya siri..? ha ha ha..

cc YNNAH..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…