Happy birthday my dear JUDGEMENT

Happy birthday dearest. Ubarikiwe hadi ujishangae. Sala zako zijibiwe zile zitakazokuacha na akili timamu.
Mimi penda sana wewe rafiki.

Mimi pia penda wewe kama dugu yangu but, mimi gopa Poo, topiga mimi choma!
Then mimi bado penda baki na jicho wangu, kucha wangu!
 
Acha umbea wewe Banana Man, wewe mbona hatukuulizi taarifa zako.
Nyie ndio wanga wenyewe.
Na ole wako mdogo wangu YNNAH aachike, utan'tambua.

Shemeji langu wa huku na huku! Nashkuru kwa kuniona!
Pia ondoa worry nduguyo namtendea haki kuanzia jikoni, sebleni na chumbani ndy nampa haki maradufu ya duble!
Sisaidiwi na supu ya pweza wala kidonge! Refar avatar yangu, ule mwili wa msaada?
 
Last edited by a moderator:
Acha umbea wewe Banana Man, wewe mbona hatukuulizi taarifa zako.
Nyie ndio wanga wenyewe.
Na ole wako mdogo wangu YNNAH aachike, utan'tambua.

Shem huyu mushaija kwa umbea wee mzoee tu! Utaamini hata akiendaga mnadani vingunguti anatakaga ajue kila mwenye Mbuzi kamuuza kwa shiing'ngapi !
Hata akiwa kwenye bus anakuaga na hamu ajue kila abiria kavaa chupi rangi gani !
 
Last edited by a moderator:
Hamchezei, bali wanachezeana.
Na mdogo wako simtaki ng'oo.
Ukoo gani kila siku mnanichuna tu.

Ni kweli shem , sie tulikua tunaskiaga kua huyo SHEMEJIo Bishanga ndy alikua anakuchuna kumzidi hata Loya! Na ushamuona alivyokonda? Tangia usitishe huduma?
Yuko pyeee!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe leo ni BD ya mkuu?
Tunasheherekea wapi?
maana weekend nido hii!

Da Mwali mambo? Karibu bwana, sherehe Gombe kisiwani (National park) jioni ya leo.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Shem usijitoe fahamu kujifanya hujui kilichomleta huku!
Ni kipande kidogo sana cha fillet ya steki , ukikitupia kwenye mzani hakizidi robo kilo! Huko kwenu mtampa cha nani?
 
Last edited by a moderator:
Duh!!!! kumbe Bishanga una roho mbaya hivyo looh!!!!!!

Siyo roho tu pekee mpenzi !
Sura yake ushawahi iona? Ni kama vile uonavyo barabara iliyorundikwa vifusi vya moram havijasambazwa! Sura nzitoje?
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu nimeponzeka na MNARA

Jibu la melania my lav!
Tena mwambie Jinara lenyewe si la kusaidiwa!
Sijui supu ya pweza!
Sijui karanga mbichi!
Unajitegemea wenyewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…