Happy Birthday Judgement! MUNGU aliyekuleta duniani akakutunza na kukulinda miaka yote, namuomba akupe maisha marefu yenye mafanikio na akuepushe na maradhi na maadui.
Bro Judgement natumai safari ili kuwa ndefu, japo leo sio kwamba ndiyo mwisho wako wa safari, safari bado ni ni ndefu tu na inaweza kuwa na mabonde mengi zaidi ya kule ulipotoka, all in all happy birthday my ndugu

asante mkubwa Judgement najua leo ni mwaka mpya na mambo mapya kwako,tumia fursa hii pia kututangazia ID's zako zingine no Sorry!! kututangazia my waifu wako wengine wale invisible.