Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia Kaka yangu mpendwa (GARMII) Heri na Baraka kwa siku yako ya kuzaliwa 28/06.
Mungu akutangulie katika maisha yako na akuongoze na kukuongezea hekima na busara.
Happy Birthday (GARMII) !!!!!!!!!!!!!!!
Dada yako Dena Amsi
Sa si mseme jioni mnatuachaje?... kama ni dongobesh, Katesh, Bashnet au Madunga tuanze kusogea taratibu!Hiyo bluu ndo kutakiana heri huko?? PJ hebu acha uchokozi asubuhi subuhi bana kha!!!
thnx my sister,mungu akulinde na mabaya na akupe maisha marefu yenye furaha! Naas.Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia Kaka yangu mpendwa (GARMII) Heri na Baraka kwa siku yako ya kuzaliwa 28/06.Mungu akutangulie katika maisha yako na akuongoze na kukuongezea hekima na busara.Happy Birthday (GARMII) !!!!!!!!!!!!!!!Dada yako Dena Amsi
na ya ahera pia,nashukuru sn fl.Happy bday kaka mungu akulinde na kukupa mema yote ya nchi
thnx,&u2.Heri ya kuzaliwa mkuu! Mungu akupe maisha marefu na baraka tele!
nashukuru sn jaman.Happy bithday my dear son.
pk vp mkubwa?mbona unambana sn my sister aise khaa! Ngoja nikamwambie kumba wangu,subiri usikimbie!Sa si mseme jioni mnatuachaje?... kama ni dongobesh, Katesh, Bashnet au Madunga tuanze kusogea taratibu!
thanks SL.Happy birthday bro! Mungu akupe maisha marefu yenye showers of blessing.
mhh my sister naww?huna mpango wowote na huko nn!Ha ha ha ha umenichekesha ya ahera wayajua weye
kweli sister ww ni noumer aisee! Thnx alot myd!