Happy Birthday Mwita25

Mimi michango yako hunifanya nikufikirie ka vile mdogo.Kumbe ni kaka kwangu.Haya Bon annivaissaire!

Happy birthday Mwita25, wapi sasa tunaenda kuparty? Igunga au Tarime au hapa hapa Dar?

OmG!Kama ningefungua hii thread mapema,ningekuja kumuona live mwita,nipo Dodoma,tena leo nlikuw idle sn,nway happy birthday mura weito!

OmG!Kama ningefungua hii thread mapema,ningekuja kumuona live mwita,nipo Dodoma,tena leo nlikuw idle sn,nway happy birthday mura weito!

Usijali mkuu, tutaonana tu

Duh nilipita pale hotelini just kumuona huyo Mwita25 yukoje. Kaka mbona umefanana sana na Riz1? Au mtoto wa nje wa ****** nini?

Duh,kumbe na wewe umeoa!..sasa huo muda wa show unaupata wapi?.. mana wewe kutwa kucha
kuuza sura jf!

Duh nilipita pale hotelini just kumuona huyo Mwita25 yukoje. Kaka mbona umefanana sana na Riz1? Au mtoto wa nje wa ****** nini?
Kuna tetesi ni mwanae wa nje, alimzaa enzi zile akiwa anakunywa pombe za kienyeji virabuni

Happy birthday bro. Ila najua ulizaliwa 1975!!!

Kuna tetesi ni mwanae wa nje, alimzaa enzi zile akiwa anakunywa pombe za kienyeji virabuni

mbona unelezea ulivyopatikana sasa?

Duh,kumbe na wewe umeoa!..sasa huo muda wa show unaupata wapi?.. mana wewe kutwa kucha

kuuza sura jf!

Ni swala la kupanga ratiba tu

Happy birthday bro. Ila najua ulizaliwa 1975!!!

Ni kweli kwasababu masaburi yako yanakuambia ukichukua 2011-33=1975. Sishangai kwasababu ndiyo aina ya mambumbumbu ambayo Chadema imejaliwa nayo.

Happy Birthday Mwita.....Mungu akujalie aisha marefu.

Bala.

happy belated bday jembe!kimbiza mbweha mwanzo mwisho!pamoko

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…