nikaribisheni basi
Usijali mkwe wangu
Hujabakia hata na mtoto mmoja??
HII NI BIRIANI NIME I MISS SANA UDENDA UNANITOKA
Kumbe wewe Mume wako ni Mkuu Paw?Hahaha, mmenikumbusha wimbo tulikuwa tunawatania ndugu zetu ambao ni waislamu.
'maulidi bila.waaali mtume hatawadiaaa'. I wish niweke clip nikiuimba ila paw siku hizi ana wivu kama nyoka!
Kwa hiyo MziziMkavu, ina maana kahtaan ni sheikh ubwabwa? farkhina.
ayaaaaaaaa......nshakosa
siifahamu, nifahamishe tafadhali
Iko hivi...
Jamaa 2 walipata wazo la kuanzisha kufuga kuku wa mayai...
Basi wakapanga mmoja ataokota mayai mmoja atafagia banda..kila mmoja anang'ang'ania kuokota mayai hadi ngumi zikaruka...ilhali hata hao kuku hawana lol
Ndio mimi namwita huyo mkwe mtoto wenyewe sina hahaha
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums