ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
nina hamu sana hiyo keki kwani nilikosa keki ya Mentor nasikia ilikuwa tamu sana kwa waliolishwa siku hiyo
sherehe ni wapi bestito kama ni pale LTHP nitaweza kuja kwani niko njiani naelekea kung'oa jino linaniuma best
umemwalika na shem?
sherehe ni wapi bestito kama ni pale LTHP nitaweza kuja kwani niko njiani naelekea kung'oa jino linaniuma best
umemwalika na shem?
amina kipenzy......barikiwa sana na Mungu awe nawe kukufanyia wepesi katika hali zako!
uje basi tule keki!!

